Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

Nipo tu nazunguka kama bodaboda mjinii nipe tu umbeaaa basiiii

Na unavyohangaika na umbea binamu mmh ushukuru mungu tu siku iz tindikal hamna, umbea mpya ni kuhusu mama ubaya, si unakumbuk kipindi kile ndomo alivyochaguliwa BET timu wema na vihele hele vyao wakaanza ooh wema uso kwa uso na akina rihhana na beyonce, makerere kibao, hatimaye mama ubaya katoswa tupo nae mjini tu tunaungua jua wote
 
Katoswaje binamu?kaacha au hajaenda kwenye hizo tuzo? warumi
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jipya shigongo yupo katika harakati za kutunisha account yake kupitia magazeti pendwa.
 
wema uso kwa uso na kina rihana ataendelea kuwasikia kwenye vyombo vya habari tu

kuchamba kwingi ndio kubaki na mavi unatakiwa uwe mtu wa actions sio maneno makavu meengi
 
Tuzo tar 29 ya marekani au ya bongo? Maana tar 29 ya merakani saa tatu usiku huku kwetu ni tar 30 saa 11 Alfajiri,sasa tuwekeni sawa kwa bongo ni tar 29 au 30? BET ya startimes itaonyesha?
 
swala la mbasha kurudiana na Flora sijamuelewa labda kama ana hidden agenda na kuna kitu AME aim kuachive.

Aache kukata mauno na mkewe jukwaani atafute kitu cha kufanya pia
 
wema uso kwa uso na kina rihana ataendelea kuwasikia kwenye vyombo vya habari tu

kuchamba kwingi ndio kubaki na mavi unatakiwa uwe mtu wa actions sio maneno makavu meengi

Jipange sasa alivyokuwa anajishau ooh wema atakuwa kwenye red carpet na kina beyonce na rihhana had nguo ya kuvaa jipange akamchagulia, dah naona sasa ivi kawa mpole yamemshuka

Umeona picha ya kajala na wema uko insta? Madai wamepatana tena nimewaona wamevaa sare kama kawaida yao, aunty ezekeil akaroge tu kibarua kinakaribia kuota nyasi
 
swala la mbasha kurudiana na Flora sijamuelewa labda kama ana hidden agenda na kuna kitu AME aim kuachive.

Aache kukata mauno na mkewe jukwaani atafute kitu cha kufanya pia

Mi nachekaga anavyoyarudi mume wa florah, step zenyew hajui vzur basi vurugu hata haelewekag kama anacheza ngolololo au skelewu anaruka ruka
 
Hahhhhhhhhhaaaaaaa uwiiiiiiiii kumbe yamekuwa hayoooo tenaaaa
 
Kwa hiyo domo kaenda mwenyewe au, kakomeshwaaa angeenda nae angeenda nae domo angetoswaa akakimbiliwaa Jay z
 
Kwa hiyo domo kaenda mwenyewe au, kakomeshwaaa angeenda nae angeenda nae domo angetoswaa akakimbiliwaa Jay z

Angeenda unadhan instagram pangetosha leo? Ndo ungekuwa wimbo wa taifa, madam yupo zake mwana nyamara uko asubir tu kumuona malaya wake kwenye TV
 
sijaona binamu kwenye akaunt ya nani ndio kuna hiyo picha.

hivi aunt eze ndoa bado ipo kweli maana mwanamke kutwa kigulu na njia hivi siku hizi yuko karibu na madam
 
Mi nachekaga anavyoyarudi mume wa florah, step zenyew hajui vzur basi vurugu hata haelewekag kama anacheza ngolololo au skelewu anaruka ruka

binamu utanivunja mbavu zangu eti anavyoyarudi mangoma
 
Nahisi kuna mtu anakwenda kuumizwa zaidi sasa....sijui kwanini nahisi Haya mapatano yana walakini...

Ni kweli,adhani emma atalipiza kisasi hata kama ni baada ya muda mrefu
 
Angeenda unadhan instagram pangetosha leo? Ndo ungekuwa wimbo wa taifa, madam yupo zake mwana nyamara uko asubir tu kumuona malaya wake kwenye TV

Pasingetoshaa nakuambiaa wapunguzee na viherehere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…