Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

sijaona binamu kwenye akaunt ya nani ndio kuna hiyo picha.

hivi aunt eze ndoa bado ipo kweli maana mwanamke kutwa kigulu na njia hivi siku hizi yuko karibu na madam

Picha ndo hiyo binamu nasikia walipiga jana kwenye arobain ya mtoto wa imelda yule cha umbea wa global aliyegombana na wema kwenye ofisi za global
 

Attachments

  • 1403960615091.jpg
    41.9 KB · Views: 641
Picha ndo hiyo binamu nasikia walipiga jana kwenye arobain ya mtoto wa imelda yule cha umbea wa global aliyegombana na wema kwenye ofisi za global

hahaha binamu Imelda yule ni mmbea haswa ... wapatane tu mambo ya kuandikana vibaya insta labda yatapungua
 
Picha ndo hiyo binamu nasikia walipiga jana kwenye arobain ya mtoto wa imelda yule cha umbea wa global aliyegombana na wema kwenye ofisi za global
Wema hajakwenda BET !Wamarekani wamemnyima viza nini?
 
swala la mbasha kurudiana na Flora sijamuelewa labda kama ana hidden agenda na kuna kitu AME aim kuachive.

Aache kukata mauno na mkewe jukwaani atafute kitu cha kufanya pia
kweli kabisa mwanaume utakataje mauno kwenye Bendi ya mkeo,ndo maana mimi niliangalia GPA nilipotaka kuolewa,hahahh mwanaume mwenye akili hawezi kuwa danser kwenye Bend ya mkewe.
 
Duh huyu mwimbaji wa bongo flava Flora na mwigizaji Mbasha mbona movie yao haina part two?
 
kweli kabisa mwanaume utakataje mauno kwenye Bendi ya mkeo,ndo maana mimi niliangalia GPA nilipotaka kuolewa,hahahh mwanaume mwenye akili hawezi kuwa danser kwenye Bend ya mkewe.

GPA zenu hizo ndo maana kutwa mko posta na mabahasha ya kaki mnatafuta kazi..Pia akili sio GPA..watu tuna GPA kama punje lakini kila siku sherehe ..ushanifahamu
 
GPA zenu hizo neo maana kutwa mko posta na mabahasha ya kaki mnatafuta kazi..Pia akili sio GPA..watu tuna GPA kama punje lakini kila siku sherehe ..ushanifahamu
hhhhhh mimi GPA ndo ilikuwa moja yakigezo cha kumkubali mme,na vigezo vingine vingi kama kumpima je anaweza kuongoza familia?GPA kubwa inadetermine uwezo wa mtu,labda iwe ya kupewa ila kama ya kihalali tena ya Engineering,huko hakuna kumeza ni kuelewa
 
Wamepatana baada ya bunge kwisha, what a concincidence, walituondoa kabisa kwenye mijadala ya bunge wapenda umbea, isijekuwa walikuwa spin doctors
 
Mimi nimefurahi kweli, neno la mungu linasema kwa wale wafuasi wa kristo, ndoa na iheshimiwe na watu wote , ila hii ya ima na fulo hailuheshimiwa kwa kitambo kidogo ila saivi imerudi na itaheshimiwa na watu wote
 
Huyo Gwajima si ndiye anayetembea na Frola sasa ilikuwaje aitwe kwenye kikao?huyu bwana na yeye -----,Gwajima amekwisha mchakaza mkewe bado wanarudiana.huyo mwanamke anatamaa ya pesa na ampeleke shule akasome tena
 
Ahaaaaa ahaaaaa!mjomba domo safari nyingi za majuu anamtosa Bi Wema,ila safari za Kili Music Award ndiyo anajidai kwenda naye!

ndomo anahesabu za hali ya juu nahis hatak kuja kuwa kama kina "kuku kapanda baiskeli bata kavaa raizoni! maana yule mchaga anamaanika sana loh
 
Unaonekana una mahaba makali sana mungu aniepushe nisije kukutana na wewe maana naweza kufa kwa kusikia utamu

........................................!!!!"""
 

Hahhhha yaan binamu mi sielewii naona tu Emma anasema Nampenda mke wangu nampenda mke wangu khaaa!!!!!!halaf kumbe hana kaziu na hizo malii walipataje pataje maana aliongelea nyumba,,mikataba sijui ninii,kwan binam nani mwenye makosaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…