Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"


Binamu amekomeshwaa, siku hiz ana dili gani hapa mjinii/??hata salon hana na ofisii ishaishaa na kipind hatukion tenaaaa lol ngachokaaa miee
 
Last edited by a moderator:
Washakusomaaa

binamu nilisikiaga umbea ndomo na mama ubaya watafunga ndoa kabla ya ramadhani, naona had leo kimya au ndo ramadhan ya 2015, jaman ndomo huyu muongo kiama, mara alisemaga atampeleka wema ghana akaigize na akina van vicker na nadia buar, mpaka sasa hatusikii cha ghana wala kenya, huyo madame achukue chake tu kama pumbu kashapigwa nao sana na hajaambulia kitu, yaan ndomo muongo kiama
 
Hahhhha yaan binamu mi sielewii naona tu Emma anasema Nampenda mke wangu nampenda mke wangu khaaa!!!!!!halaf kumbe hana kaziu na hizo malii walipataje pataje maana aliongelea nyumba,,mikataba sijui ninii,kwan binam nani mwenye makosaa

Anampenda kitu gani akajambe mbele uko, watu wanataka pesa ye analeta mapumbu apa watu watakula hayo makende yake? , ndo akabebe zege uko amnunulie mke wake prado mana ndo kilichomfanya achepuke kwa gwajima msukule
 
Binamu amekomeshwaa, siku hiz ana dili gani hapa mjinii/??hata salon hana na ofisii ishaishaa na kipind hatukion tenaaaa lol ngachokaaa miee

Na wema anayaweza mahaba niue, khaa kupigwa pumbu kote kule hata vits hajanunuliwa? Ndomo na yeye si angemfungulia bibi bomba hata duka la chupi auze, maana yeye kutwa kuzurula na msukule wake cheusi dawa aunty ezekiel
 

hv diammond unamuonaje?wale pale wakioana hawadumu wema s mwanamke wa kuoa wewe!kamrudia yule baaada ya peny kumkataa unaweza kuta akaoa mwingine na ht akimuoa wema hawatadumu wema alivyo chizi vile hv mzazi gani atakubali mwanawe auvagae?
 
Wewe unafikir florah tahira amsamehe bure tu?, si anajua mumewe mda si mrefu ataenda kunyea debe so kaamua amfariji kidogo siku mbili tatu izi za uraiani ili akienda china afaidi vizur penzi la gwajima

Mmmhhh
Hapa na mi ndo napooona sio bure huo msamaha.
Nway ngoja tuone
Hyo 17
 
Mbea mwenzangu Dinazarde uko wapi? Ebu njoo uku nikupe habar njema
 
Last edited by a moderator:
Na wema anayaweza mahaba niue, khaa kupigwa pumbu kote kule hata vits hajanunuliwa? Ndomo na yeye si angemfungulia bibi bomba hata duka la chupi auze, maana yeye kutwa kuzurula na msukule wake cheusi dawa aunty ezekiel

hakyanan mmeshindikana
 
Dear mbasha,
finally amerudi!!!
ushauri: SLEEP WITH ATLEAST ONE EYE OPEN!!! if there was a "this time" there will be a "next time" trust me!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…