Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

Mapenzi nivue nguo nidhalilishe upendavyo, wakorintho watakuja kufunga kazi.
 
wakorintho unaonaje ukimaliza na kazi ya jide na gardiner? ignore uzalilishaji uliotokea kati yao
 
Wakorintho ndo nani tena?
hahahahaaaa warumi wewe hukualikwa kutoa mistari yako katika kumaliza kesi ya hawa watumishi wa bwana, mwenzio wakorintho kaplay a big party, according to shigogo
 
Last edited by a moderator:
Na mtoto wangu je,aliskika gwajima anahoji kwenye kikao ahahahaash,so ametumikaa weeeee hadi akapata na kakid ndio anarudi kweli mapenzi,tunasubiri sasa diamond kurudiana na wema!;-)
 
Mnh kumbe topic ya mwaka jana,nilivyotoka macho pima
 
Vipi kashfa ya kula na kuliwa tigo ya bwana emmanuel mbasha
 
Ni furaha na habari njema wawili wakipatana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…