Florah mbasha: Nipo Tayari kurudiana na mume wangu.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.

Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.

"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema.
 
Huyu demu anazingua sasa. Si alisema ana move on.....hailiweka yupo kama dice tu
 
Si alisemaga mbasha alikuwa anamuomba tigo huyu? Kwa hiyo anataka kumpa au? Mmh!! Kweli ya ngoswe mwachie ngoswe

Itakuwa kawahi kumpa so now hakun anae muomba tena.
By the way let them do yao
 
Hapana kwa kweli, unajua katupotezea sana mda kipindi kile huyu? Khaaa!! Siku nyingine tutawaacha tu ata wakitaka kuuana tunaawacha nfyuuu wanatufanya sie mazumbu kuku
 
Haha,,,usiwaguse let them walane tigo. Hiv ni sawa kula kabang…?
 
Mfuuu xhiii akuangukie wewe nani?? Mwambie Gwajima akuangukie hivi wewe mwanamke gani uishe na soni!?? Mrudiane umpe tigo eti?? Kwa vile Gwajima hapendi tigo
 
Ahahaah ahah, kashamisi bumbiro ya mbasha
 
Huyu florA ana undugu na wema sepetunga? Wana tabia nyingi sana zinafanana
 
Inaonekana pastor hayupo interested tena kashafanya take akaona arudi kwa mbasha
 
Pastor kashaichoka mbunye, kazaa hana mvuto kamwachia emma mzigo wake mmh ndoa izi
 
nani baba hapo
 
Attachments

  • 1426370287463.jpg
    1426370287463.jpg
    110.6 KB · Views: 680
jamani si alisema mbasha alikuwa analala na PANGA jamani na mara kadhaa, alishajaribu kumuuwa kwa kumnyonga?? maanake alivyomuwa anamueleza ni dizaini kama vile ni hatari sana kwa usalama wa binadamu.
 
Back
Top Bottom