Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.
Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.
"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema.
Si alisemaga mbasha alikuwa anamuomba tigo huyu? Kwa hiyo anataka kumpa au? Mmh!! Kweli ya ngoswe mwachie ngoswe
Itakuwa kawahi kumpa so now hakun anae muomba tena.
By the way let them do yao
Hapana kwa kweli, unajua katupotezea sana mda kipindi kile huyu? Khaaa!! Siku nyingine tutawaacha tu ata wakitaka kuuana tunaawacha nfyuuu wanatufanya sie mazumbu kuku
Si alisemaga mbasha alikuwa anamuomba tigo huyu? Kwa hiyo anataka kumpa au? Mmh!! Kweli ya ngoswe mwachie ngoswe
Inaonekana pastor hayupo interested tena kashafanya take akaona arudi kwa mbasha