FLORAH MVUNGI Kwa Penzi La Wema Na Diamond, Amesemaje?!?

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Tangu Diamond na Wema Sepetu kurudiana kwa mara nyingine sasa imekuwa gumzo la mtaa lisilotaka kuisha hivi karibuni.

Kila anaewashabikia mastaa hawa kurudiana amekuwa na mtindo wake wa kuonyesha furaha. Lakini ile iliyozungumzwa sana ni ile ya mafans wa Wema na Diamond kumtusi Penny kwa keki.

Pia mastaa wengine wamejitokeza kukubali mahusiano haya na pia kabla kurudiana rasmi, kulikuwa na mijadala kwa mitandao kuwa Diamond ingekuwa vyema kama angerudiana na Wema Sepetu.

Flora Mvungi kwa kuonyesha furaha yake kwa wawili hawa aliingia kwa akaunti yake ya Instagram na kuweka ile picha iliyosambaa sana ikimuonyesha Wema mikononi mwa Diamond halafu akaweka maneno haya:
‘me na mume wangu tunapendana sana but still tunaipenda sana hii couple iendelee kuwepo.Mungu awajalie mapenzi tele wafike malengo all the best darlings..."

Picha ya Instagram hapo chini.​
 
du huyu H-Baba si ndo huwa anatumia mda mwingi kumponda Diamond jukwaani kuliko hata kupiga show na kuonyeasha chuki za wazi dhid yake sasa iweje leo yeye na mkewake wamtakie mema?Au ndo ule msemo wa "If u fail to fight against them,join them" ?
 
du huyu H-Baba si ndo huwa anatumia mda mwingi kumponda Diamond jukwaani kuliko hata kupiga show na kuonyeasha chuki za wazi dhid yake sasa iweje leo yeye na mkewake wamtakie mema?Au ndo ule msemo wa "If u fail to fight against them,join them" ?

duh! Mbona imekuuma hvyo ulkua nanilii? Wa mshakaji,people change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…