yani jamaa anapiga kampeni kinyonge mno mpaka nashangaa why anatufanyia hivyoKushinda pale hawezi labda tume ya uchaguzi imbebe.
CCM imeshachokwa sana Nkenge, na bahati mbaya zaidi mgombea wake wa safari hii hakubariki kabisa. Mchovu sana.
Yupo aliangushwa kwenye kura za maoni!Asumptu Mshana sijui,bado yupo?
Eti aongeze nini? Kwani munkari huwa unaigizwa? Huyo hawezi siasa anajilazikisha tu na safari Margaritha Mugyabuso anampapasa makalio hadharani!Sasa nakushauri ongeza munkari kidogo ili tuchukue jimbo bla jasho maana naskia wale akina wagombea uliowashnda ndani ya CCM wanakusnitch underground
Kwani mdogo wangu kuna mahali nimekutukana? Mimi umenichekesha tu uliposema aongeze munkari!mkuu ukumbuke sijaja na tusi wala karipio sasa mbona unanijia juu
Mgombea wa chadema ni nani huko nimpe mbinu.Hayo ni majimbo mkuu Kati ya mengine ambayo yamekua nyuma Sana tangu miaka na miaka chini ya wabunge wa ccm ,ilo Jimbo wananchi mnahitaji kuchagua chadema angalau kubadilisha upepo yahani Kila miaka inavyo enda Jimbo linarudi nyuma kimaendeleo kwa speed ya 5G , nalijiua hili Jimbo nimewai fanya kazi na shirika flani huko,
Kuna mdau kamtaja pitia post za uzi huu Kuna jina, mkuuMgombea wa chadema ni nani huko nimpe mbinu.
Mgombea wa chadema ni nani huko nimpe mbinu.
[/QUO. MARGHARISA MGYABUSO, majina ya bk magum Sana ndo huyo