Floriculture exercise at the NBO Expressway

Flossin Mauwano kapita hapa.... masai nakuja leta mbusi hapa akule huu miti mirefu.
 
Hii barabara itasababisha watu watukane sana humu.....
Aah wapi, hamna namna hapa, imebidi wawe wadogo kama piriton jombaa. 😄 Hii ni ligi nyingine tofauti kabisa, ambayo hawana mazoea nayo hata kidogo. Wanapita tu kimya kimya wakijiumiza vichwa na kushangaa. Inakuwaje jirani zao tunafanya mambo kama haya kimya kimya.

Ingekuwa ni wao utepe ungekuwa unakatwa kila asubuhi. Mifugo nayo ingekuwa inapitishwa kwenye kisu na moto, kwa mamia, kila mwisho wa wiki. 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…