Floyd Mayweather alitumia madawa kumpiga Pacquiao?

Floyd hakumpiga Pacquiao.

Alimshinda kwa pointi tu.

Na ndo maana Pacquiao alimaliza pambano kama alivyolianza, yaani hakuwa hata na mchubuko usoni mwake!

Hivyo, huko si kupigwa. Ni kushindwa tu kwa pointi.
 
Kwa mazingira ya ule mpanbano.
USA & Floyd wali-control kila kitu.
Na walijua wazi Mayweather hafui dafu kwa yule Mfilipino.
Wakaanza figisufigisu toka mwanzoni.
Nashauri pambano lirudiwe kwao ufilipino.
 
Boxer vs runner....ha ha ha huyu jamaa anadai anacheza pambano la mwisho usiku wa kuamkia kesho na kustaafu ngumi...aende zake tu..
 
Floyd hakumpiga Pacquiao.

Alimshinda kwa pointi tu.

Na ndo maana Pacquiao alimaliza pambano kama alivyolianza, yaani hakuwa hata na mchubuko usoni mwake!

Hivyo, huko si kupigwa. Ni kushindwa tu kwa pointi.

Ha haaaa
Haya ni mahaba yako binafsi mkuu
Kwenye boxing wanatafuta mshindi na sio alievimba usoni
 
Jana katafuta bweg.e wa kupigana naye ili afikishe 49-0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…