FLOYD MAYWEATHER amchakaza Tenshin Nasukawa round ya kwanza.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Bondia asiyepigika ,THE MOST ACCURATE PUNCHER, THE BEST DEFENSIVE GENIUS EVER FLOYD MAYWEATHER amkung'uta Tenshin Nasukawa round ya kwanza dakika ya kwanza sekunde ya 51 .

Mpaka sasa Floyd bado anashikilia rekodi ya kuwa undefeated, Tenshin alikuwa pia hakuwahi kupigwa kabla ya leo kupigwa vibaya tena mbaya zaidi katika nchi yao .

Pambano hili lilikuwa la round tatu kila round dakika tatu , na Floyd amefanikiwa kuingiza jumla ya bilioni 20+ ndani ya dakika mbili tu.

Who's next????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Nimeiona hiyo video alafu wanasema lilikuwa ni pambano la dakika 9 tu na floyd amevuta mkwanja wa Billioni 90

Kiukweli floyd bado ni tishio japo umri umeenda na ana tecknicks za ajabu jamaa anazeeka na ukali wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna pambano hapo.
Miaka 20 kwa 40
Physical appearence na weight difference hazinishawishi kuona kama kulikua na pambano.
Nilichokiona ni uhalalishaji wa pesa tu.
 
Wewe kweli hujui chochote kuhusu ngumi.

Bondia kadri anavyozidi kuzeeka hata ule uwezo unapungua taratibu taratibu , hapo Tenshin suala la umri ndilo lililokuwa linambeba zaidi na ingekuwa rahisi zaidi kwake kushinda, chukulia mfano pambano la juzi kati ya Abdalla Pazi wa Pazi na Francis Cheka, Pazi alishinda kiurahisi zaidi kutokana na utofauti wa umri kati yake na Cheka, Cheka aliyepigana juzi na Dulla Mbabe si Cheka yule aliyefanikiwa kumaliza utawala wa ukoo wa Matumla.
Hi

Hakuna pambano hapo.
Miaka 20 kwa 40
Physical appearence na weight difference hazinishawishi kuona kama kulikua na pambano.
Nilichokiona ni uhalalishaji wa pesa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiona hiyo video alafu wanasema lilikuwa ni pambano la dakika 9 tu na floyd amevuta mkwanja wa Billioni 90

Kiukweli floyd bado ni tishio japo umri umeenda na ana tecknicks za ajabu jamaa anazeeka na ukali wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Anazeeka na ukali wake coz he fights with bums. He fights with a real boxer he becomes a runner.
 
Nimeiona hiyo video alafu wanasema lilikuwa ni pambano la dakika 9 tu na floyd amevuta mkwanja wa Billioni 90

Kiukweli floyd bado ni tishio japo umri umeenda na ana tecknicks za ajabu jamaa anazeeka na ukali wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu.
Ni sawa na barcelona Fc wanaomba mechi ya SOKA na timu ya netboli ya wanawake na wanawaomba wacheze nao soka alafu barca wanashinda kwa kishindo kisha watu wanasema jamaa barca wakali sana.
 
Dakika 9, Bilioni 90. Bongo unamaliza Masters degrees yako unaenda ''Council" kuajiriwa kwa salary ya TShs. 1.5 million per 31 days, fedha halali ya kitanzania. Ama kweli, we are equal as human beings, but not the same
 
Floyd would do this to 90 % of ufc guys his
hands are too heavy and fast if he trained
wrestling for a month or so he would probably be
a double ufc champ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…