FLOYD MAYWEATHER amchakaza Tenshin Nasukawa round ya kwanza.

Dakika 9, Bilioni 90. Bongo unamaliza Masters degrees yako unaenda ''Council" kuajiriwa kwa salary ya TShs. 1.5 million per 31 days, fedha halali ya kitanzania. Ama kweli, we are equal as human beings, but not the same
Hahahahahahahahahaahahhahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahhahah sijui hata kama ana degree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninadhani Asukawa na team yake ni Wajinga sana, kwanza Asukawa ni master katika kick boxer na MMA, Mayweather ni pure technical boxer, isitoshe uzito wao ni tofauti, kwa vigezo hivyo nafasi ya Nasukawa kushinda ilikuwa finyu mno----ndiyo maana baada ya kukudondoshwa mara 3, team Nasukawa wakaamua kurusha taulo, kama Nasukawa angalikuwa ni pure boxer kamwe Mayweather asingekubali kucheza naye, japo wanasema ni intertainment.
 
Dakika 9, Bilioni 90. Bongo unamaliza Masters degrees yako unaenda ''Council" kuajiriwa kwa salary ya TShs. 1.5 million per 31 days, fedha halali ya kitanzania. Ama kweli, we are equal as human beings, but not the same
Hiyo ni gross, bado hujaweka makato [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaa hiyo ukitaka iweje yani mkuu..!
Unadhani wao hawakuona hayo mwanzo?
Walijua, ila hiyo inaitwa 'working smart'kauli mbiu ya Floyd,
Wao hawaangalii nani kapigwa ila lengo ni kutengeneza pesa tu, ndio maana hata mkataba wa malipo unafanywa kabla ya pambano.
Uwepo kwa Mayweather hapo ni kama kivutio tu cha watu kwenda wakatoe pesa basi.
Wanaobaki kupambania njaa ni huku kwetu Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwa umri huu
Wewe mwenyewe jaribu kumchukua dogo wa miaka 20 halafu wewe ulivyo na miaka 42 mjaribu kupigana dakika 2 utamkarisha huyo atakuzidi kwenye mbio tu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dakika 9, Bilioni 90. Bongo unamaliza Masters degrees yako unaenda ''Council" kuajiriwa kwa salary ya TShs. 1.5 million per 31 days, fedha halali ya kitanzania. Ama kweli, we are equal as human beings, but not the same
Council ya wapi hyo mkuu??unayoanza na mshahara wa mil 1.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko wapi Mwakinyo alianza madharau kabla hajatoka. Dogo angekuwa mpole kutafuta usaidizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boxing federations wote ni wizi tu wapesa za watu, unaruhusu vipi pampano bila watu kukizi vigezo. zamani ili upate nafasi ya kupigana stage kubwa lazima uwe rank ya juu. Hapa unaona kabisa uzito sio sawa halafu huyu kijana angekufa? maana sio boxer na mbaya zaidi sio uzito sawa. Hawa nadhani inabidi wajitafakari au wataishia kama Brazil kupoteza mvuto maana kila leo wanacheza mechi nchi za watu kupata pesa tu kwao hawachezi. Boxing lazima warudishe heshima kama zamani boxing iwe boxing hapa unaona kabisa lightweight anapigana na heavyweight. hiyo murder case
 
Siyo kwa umri huu
Wewe mwenyewe jaribu kumchukua dogo wa miaka 20 halafu wewe ulivyo na miaka 42 mjaribu kupigana dakika 2 utamkarisha huyo atakuzidi kwenye mbio tu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambano la Mike "iron" Tyson alilopigana akachukua ubingwa wa dunia alikuwa na miaka mingapi? Mpinzani wake naye alikuwa na miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mayweather mwenyewe alikuwa anapigana huku anacheka.

Hako katoto kalitolewa tu kafara na kangejaribu kukomaa hakika kangekufa.

Hili pambano ni kama kupambanisha SGA na JWTZ.
Mwisho wa Pambano Floyd anakuambia yeye ni Undefeated, na Asukwa still ni Undefeated,
Yeye ni Bingwa, na Still Asukwa ni Bingwa,
Tena anasisitiza kabisa kua bado amestaafu kupigana,

Ina maana hili Pambano ni kama halikuwepo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…