Labda jiwe naye apande ulingoniTumpeleke Magufuli huko akawashikishe adabu hao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu akimbie kimbie ulingoni siku anapigana Manny Pacquiao sijamuelewa hata kidogo huyu jamaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo haikuwa boxing kama boxing ile ilikuwa maonesho tu ya boxing na sparring za kawaida kama entertainment tu na maboxer wengi wameshawahi kufanya mfano Muhammad Alli ,Mike Tyson nk.Huu ni Udhalilishaji mkubwa wa Boxing.
Kwanza tofauti ya weight, Body size na experience ni kubwa...umri si tatizo sana.
Boxing ya leo hata kama ni light weight ila kucheza eti round 3 za dakika 3 ni kuondoa hadhi na thamani ya boxing...! Mtu anapigana huku anacheka yaani hata kuchafuka kidg hakuna.
A serious boxing iliisha on 2000's
Nafuu Heavy weight.
Sent using Jamii Forums mobile app