Floyd Mayweather ampiku Muhammad Ally

Floyd Mayweather ampiku Muhammad Ally

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

Screenshot_20190813-134928~2.jpeg
 
Namba hazidanganyi, anayejua anajua tu japo kuna kundi la watu akiwemo Oscar De La Hoya wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha Floyd lakini wanagonga ukuta.
 
me nawaona wamarekani tu
Namba hazidanganyi, anayejua anajua tu japo kuna kundi la watu akiwemo Oscar De La Hoya wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha Floyd lakini wanagonga ukuta.
[/QUOTme nawaona wamarekani tu hapo...asa sijui wametumia vigezo gani
 
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

View attachment 1180301
Mkuu vipi mama yake Diamond anaendeleaje??
 
Tyson vp?
Eti ???
Kwanza Floyd anapigana Middle weight wakati Ali alikuwa anapigana Heavy Weight huoni kama anafanya comparison ya vitu visivyoendana,
Angefanya comparison ya Mike Tyson na Mohamed Ali tungemuelewa kidogo sababu hao wote walikuwa wanazipiga ndondi za uzito wa juu
Cha kushangaza Mike Tyson hayupo kwenye hiyo list
Unapozungumzia boxing usipowataja Tyson na Mohamed Ali ni sawa unapozungumzia boli bila ya Pele na Maradona
 
Ewaaaaa
 
Mmmh, kwanza Kipindi M. Ally akipigana na kushika rekodi zake zote ni wazi kua hao waliondaa hiyo list na mpk huyo 'Maiweza' hawakuwahi kuona pambano lake hata moja teeena walikua wananing'inia ktk ken**de za baba zao. Sasa haka kalist nakaona kama kana hila tu
 
"Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior "

Huyu Senior ni baba yake bondia Floyd Mayweather Jr ?
 
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

View attachment 1180301

huyu anapigana na wanawake ndio unamfananisha na Mohamed Ally?

Unajua Mohamed Ally kapigana na mijiti gani??

acha kukufuru ndugu, you know nothing about M.A

Kaa kimya, kabisa, kama hauwezi kumfuatilia kumsoma, kuangalia record zake youtbe basi mheshimu M.A
 
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

View attachment 1180301
Ally alikuwa anapigana heavy weight we bwege na heavy weight ndo ngumi siyo upumbavu was hao kina my weather!Hanna MTU atamkumbuka bondia kama Hugo anaye paki basi!
 
Back
Top Bottom