Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Unajua maana ya pound for pound?Eti ???
Kwanza Floyd anapigana Middle weight wakati Ali alikuwa anapigana Heavy Weight huoni kama anafanya comparison ya vitu visivyoendana,
Angefanya comparison ya Mike Tyson na Mohamed Ali tungemuelewa kidogo sababu hao wote walikuwa wanazipiga ndondi za uzito wa juu
Cha kushangaza Mike Tyson hayupo kwenye hiyo list
Unapozungumzia boxing usipowataja Tyson na Mohamed Ali ni sawa unapozungumzia boli bila ya Pele na Maradona
Hapo zinazoangaliwa ni skills sio uzito.Ewaaaaa
Una uhakika na unachokiongea?Mmmh, kwanza Kipindi M. Ally akipigana na kushika rekodi zake zote ni wazi kua hao waliondaa hiyo list na mpk huyo 'Maiweza' hawakuwahi kuona pambano lake hata moja teeena walikua wananing'inia ktk ken**de za baba zao. Sasa haka kalist nakaona kama kana hila tu
Umenizoea kwenye nyuzi zipi mkuu?Hance sijakuzoea kwenye nyuzi kama hizi nahisi simu yako imedukuliwa
Sio kosa lako.huyu anapigana na wanawake ndio unamfananisha na Mohamed Ally?
Unajua Mohamed Ally kapigana na mijiti gani??
acha kukufuru ndugu, you know nothing about M.A
Kaa kimya, kabisa, kama hauwezi kumfuatilia kumsoma, kuangalia record zake youtbe basi mheshimu M.A
Hujielewi wewe.Ally alikuwa anapigana heavy weight we bwege na heavy weight ndo ngumi siyo upumbavu was hao kina my weather!Hanna MTU atamkumbuka bondia kama Hugo anaye paki basi!
Are u serious?wewe huujui huu mchezoBondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.
Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.
View attachment 1180301
Pound for pound is a ranking used in combat sports, such as boxing[1] wrestling[2], or mixed martial arts,[3] of who the better fighters are relative to their weight (i.e., adjusted to compensate for weight class). As these fighters do not compete directly, judging the best fighter pound for pound is subjective, and ratings vary. They may be based on a range of criteria including "quality of opposition", factors such as how exciting the fighter is or how famous they are, or be an attempt to determine who would win if all those ranked were the same size.Unajua maana ya pound for pound?
Huwezi kujibu mpaka u Google? Umeona ni jinsi gani ulivyo mweupe?Pound for pound is a ranking used in combat sports, such as boxing[1] wrestling[2], or mixed martial arts,[3] of who the better fighters are relative to their weight (i.e., adjusted to compensate for weight class). As these fighters do not compete directly, judging the best fighter pound for pound is subjective, and ratings vary. They may be based on a range of criteria including "quality of opposition", factors such as how exciting the fighter is or how famous they are, or be an attempt to determine who would win if all those ranked were the same size.
Unajielewa?Are u serious?wewe huujui huu mchezo
wanazicheza amba kati nyiiingi, chembe kidevu haooo wameshindaa wanatoka dona kantree vipi mkuu acha kutumika na mabeberu. hahahahahaMwakinyo, Snake boy ndio takataka gani hizi?
wanazicheza na wao ila siku akipangwa na mywhether lazima afe kabisa.Mwakinyo, Snake boy ndio takataka gani hizi?