Floyd mayweather asema manny Pacquiao ndiye bondia bora aliyebaki Amtabiria ushindi dhidi ya khan

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Bondia aliyejizolea umaarufu mkubwa dunia kwa kutowahi kupigwa hata mara moja katika mechi zote alizocheza mr Floyd Mayweather amesema kuwa mechi ya tarehe 23/4/2017 kati ya mphilipino Manny Pacquiao dhidi ya mwingereza Amir Khan.

Itakuwa mechi raisi sana kwa manny kwasababu Amir Khan hana uwezo wa kuhimili mikiki kmikiki ya makombola ya makonde toka kwa pacquiao na anasema kustaafu kwake ndiko kunamfanya Manny Pacquioa kubakia kama kinara wa mchezo huu wa boxing kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…