Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Mim ni mfatiliaj wa ngumi mda mref,nmeudhuria mapambano meng hapa nchini,..nkaona si haba nkirudia kuangalia mapambano kadhaa ya huyu jamaa,Baada ya kuangalia mapambano 20 ya floyd,nmegundua huyu jamaa is a hell of a fighter.ana akili sana na mahesab makali ya jins ya kupigana,.kila ngumi yake anayorusha ina maana,anakwepa n.k,kwa watu wasiojua ngum wataona anakimbia kimbia na sometime kurushiwa ngum nying kama anapigwa lakin ngum zote hizo ni hewa,maana hua si za point..anyways,..floyd ua the champ