kwanini humkubali? au ist because kwa matusi ya fedha anayofanya ??tumekusikia TmT
mimi hapana kwakweli...
sijawahigi kumkubali huyu jamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada nkwambie kitu,.Ujue watu weng hawamkubal/wanamchukia huyu jamaa sabab ana SIFA sana pia anaongea sana,ila tukisema tutoe hayo mapungufu,..huyu jamaa ni fighter namba 1,na ndomana hajawai pigwatumekusikia TmT
mimi hapana kwakweli...
sijawahigi kumkubali huyu jamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
unawezaje kumkubali wakati umechagua kuwa hater!!mimi mwenyewe nilikuwa sijamkubali lakini nilikuwa sio hater,watu walipomponda anakimbiakimbia ulingoni ndio nikaamua kufuatilia video zake,nikagundua jamaa ana mlundikano wa vipaji vingi ulingoni,uwezo wake wa kukwepa ngumi ni wa daraja lingine,ana pigana kwa akili kubwa mnooo!!jaribu kuangalia video zake kama 20 hivitumekusikia TmT
mimi hapana kwakweli...
sijawahigi kumkubali huyu jamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
walakwanini humkubali? au ist because kwa matusi ya fedha anayofanya ??
Na ndio maana ili uwe mpenzi wa watu 95% lazima uwe na kitu kinachoitwa nidhamu na ukose kitu kinaitwa ulimbukeni.Dada nkwambie kitu,.Ujue watu weng hawamkubal/wanamchukia huyu jamaa sabab ana SIFA sana pia anaongea sana,ila tukisema tutoe hayo mapungufu,..huyu jamaa ni fighter namba 1,na ndomana hajawai pigwa
Sasa ungekuepo enz za muhamad ali ndo usingempenda kabsa,.maana sifa za floyd haziingii hata robo kwa alivyokua muhamad ally,unajua y ma blak wako hivyo,?ungejua y usingewachukia,..jamii ya watu weus marekan wanateseka sana na ubaguz had leo hii wanahesabika kama watumwa,manyanyaso ni meng,magereza ya huko yamejaa blacks tuu,na asil ya mchezo wa ngum ilikua ni mchezo,wanapiganishwa slaves enzi hizo,so ndo umeendelea had leo,sasa ndomana blacks hua wanawaringishia sana wazungu kua YES WE CAN..hata obama hua anatumia sana hii,ndomana unaona hata wanamuzik wa US wana sifa na athletes wengne wa basketball or american footbal,wakizipata lazma waonyeshe ili kuzima mziz wa fitna..so usiwachukie hawa,story ya floyd au 50cent au Tyson ukihadithiwa unaeza lia.Na ndio maana ili uwe mpenzi wa watu 95% lazima uwe na kitu kinachoitwa nidhamu na ukose kitu kinaitwa ulimbukeni.
kwasababu yoyote limbukeni hana nidhamu
Sent using Jamii Forums mobile app
True dat,tyson is a legend,..champ of all time..hakuna boxer dunian aliepigana kama tyson had leo hii. he wasnt a businessman n thts y he lost mapambano yake ya mwisho.alitumia drugs,umalaya,kesi nying mara afungwe jela .walimfilisi etc,ndio maana alichanganyikiwa.na ndio maana walimpiga,..ila hakuna fighter dunian kama tyson
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
U got it bro[emoji106]Floyd is a businessman!
Have you ever watched Mike Tyson on the ring?
What about Mohammad Ali?
They were fighters!
The difference between then and now is that, Tyson fought to kick the shit out of his opponents (and he did),
but Floyd fights only to get more points than his opponent!
- KANA -
Mtu mwenyewe anapgana Middle weight.Mim ni mfatiliaj wa ngumi mda mref,nmeudhuria mapambano meng hapa nchini,..nkaona si haba nkirudia kuangalia mapambano kadhaa ya huyu jamaa,Baada ya kuangalia mapambano 20 ya floyd,nmegundua huyu jamaa is a hell of a fighter.ana akili sana na mahesab makali ya jins ya kupigana,.kila ngumi yake anayorusha ina maana,anakwepa n.k,kwa watu wasiojua ngum wataona anakimbia kimbia na sometime kurushiwa ngum nying kama anapigwa lakin ngum zote hizo ni hewa,maana hua si za point..anyways,..floyd ua the champ
Pamoja na hayo mkuu...Sasa ungekuepo enz za muhamad ali ndo usingempenda kabsa,.maana sifa za floyd haziingii hata robo kwa alivyokua muhamad ally,unajua y ma blak wako hivyo,?ungejua y usingewachukia,..jamii ya watu weus marekan wanateseka sana na ubaguz had leo hii wanahesabika kama watumwa,manyanyaso ni meng,magereza ya huko yamejaa blacks tuu,na asil ya mchezo wa ngum ilikua ni mchezo,wanapiganishwa slaves enzi hizo,so ndo umeendelea had leo,sasa ndomana blacks hua wanawaringishia sana wazungu kua YES WE CAN..hata obama hua anatumia sana hii,ndomana unaona hata wanamuzik wa US wana sifa na athletes wengne wa basketball or american footbal,wakizipata lazma waonyeshe ili kuzima mziz wa fitna..so usiwachukie hawa,story ya floyd au 50cent au Tyson ukihadithiwa unaeza lia.
Aisee! Fedha zake anazitafuta kwa jasho lake. Watu ni roho mbaya zao zinasumbua kumchukia mkuu.kwanini humkubali? au ist because kwa matusi ya fedha anayofanya ??
Kwa heavy weight ni kweli AJ anakuja juu sana ila TMT kamaliza kaziAnthony joshua