Floyd Mayweather is the BEST fighter in the history of the world.

Wewe hujiamini na ulicho nacho na jinsi ulivyo yeye anajikubali, anatumia pesa kwa sababu anajua kuzitafuta na ana uhakika wa kuzipata, anafanya kaz kwa bidii na akili juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayweather amepata respect yangu baada ya kumtandika McGregor. Kabla ya hapo nah.

Ila inabidi tukubali kuwa McGregor 0-0-0 ni noma. Kumudu 9 rounds bila experience yeyote ya boxing kwa Mayweather 49-0-0.
Kwahiyo nawewe ni wale wachache mliolishwa mayweather promotion bullshit mkaamini...hivi kweli MacGregor ambaye pambano alilokaa mda mrefu ulingoni ni la may weather angeweza simama na kisiki kilichotoa TKO shinda mapambano 50 ..all in all may weather I think is greatest sposrtman of his time....boxing has better legends than him..yeye pamoja na kurusharusha Ela hewani ila its all marketing strategy azidi onekana anahela nyingi..ili aweze demand better deals akiwa ulingoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba
 
Mtu mwenyewe anapgana Middle weight.
Hajafkia hata robo ya great fighters in the world.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui ngumi bro,we cheza bao tu..sabab boxing sio heavy weight peke yake..its like useme,uref wa binadam ni kuanzia 6ft peke yake,inamana walio chin ya ft 6 sio watu sio? Have a brain kidogo
 
Kuna pambano nimeangalia sasa hivi kwenye channel za star TV,wameenda mpaka round ya 12 na mzungu ila akawa mshindi,jamaa ni bingwa wa kukwepa na kuchomeka ngumi,akipigwa mbili lazima arudishe nne,kufidia na kupata faida,anajua kupigana
 
Umeanza kufuatilia boxing juzi,majaji ni binadamu wa kawaida na wanahongeka, nadhani hujui bocing politics...endelea na ushabiki wako maandazi..nilichoandika ni maoni yangu binafsi diyo lazima nikubaliane na wewe...
 
Moweza[emoji1] ni mjanja mjanja tu

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Umeanza kufuatilia boxing juzi,majaji ni binadamu wa kawaida na wanahongeka, nadhani hujui bocing politics...endelea na ushabiki wako maandazi..nilichoandika ni maoni yangu binafsi diyo lazima nikubaliane na wewe...
Again,..pumba..dude stop shitting,u gon burst ua Ass.
 
huyo jamaa ni mjanja mjanja tu ngumi waliondoka nazo wakina tyson.
 
Myweather ni legend wa boxing, amepiga 50 - 0. Kwa nini asitambe, tangu lini boxer anakuwa kimya kama kondoo? Mbwembwe na mikogo ndio sehemu ya huo mchezo. Mashabiki wanapenda kuona mikogo, then ndio wanahamasika kukushangilia, kukufuatilia na kukutia moyo. Hawa jamaa US wanasumbua:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…