Kwanza MOD:
Ningeomba hii post kwa muda wa siku kadhaa muiache kwenye jukwaa hili la habari mseto hata kama mtaweka pia kwenye jukwaa la michezo .
Maana kule kwenye jukwaa la michezo sio wadau wengi wanaingia.
Hembu tuanze kujuana sasa nani ni shabiki wa nani na kwasasabu ipi inampa imani kwamba Bondia wake atashinda.