Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
[emoji23][emoji23] TMT hela zimepungua zinatakiwa zijae sasa mapambano mawili hayo hapo usiku huo zinawekwa oder Bugatti au Royce Rolls kiwandani teyari.
yy huwezi kuomba maana yy anaangalia pesa tu mapromotor ndio wanatakiwa waandae pambano.
πππ saiz anataka azikusanye sasa.
Maidana hilo pambano watu wanataka kutengeneza pesa ndefu sana wote hao ni watu wazito.