Tafsiri tafadhali kwa faida ya membersNevada authorities have charged boxer Floyd Mayweather with two felony counts stemming from allegations that he passed a bad check to make a $200,000 purchase.
Mayweather, 49, is facing charges of theft and “drawing or passing a check with intent to defraud value of $1,200 or greater,” according to documents filed April 27 in Clark County court.
Mamlaka ya Nevada imemshtaki bondia Floyd Mayweather kwa makosa mawili ya jinai kutokana na madai kwamba alipitisha hundi batili kufanya manunuzi ya $200,000.Tafsiri tafadhali kwa faida ya members
Ni za mwisho kuelekea "the big brother house"!Ameshafilisika kitambo.The upcoming jailbird!Hizi ni dalili za mwanzo wa kufikisika
Madhara ya kupata hela za haraka haraka bila kuwa na usimamizi mzuri. Kuna mahala nilisoma kuwa alikuwa anadai malipo yake yote bila kukatwa kodi, hivyo promoters walikuwa hamalipii kodi. baadaye IRA wakamlamba na bili za kodi, ila sikufuatilia kujua alimalizanaje na hao IRAAnaenda kufirisika huku Nguvu zimemuishia kucheza mapambano ya ushindani.
Arudi tu kuwa mburudishaji kama Mike tyson
Kapata hela nyingi sana huyu mwamba hata akikatwa Kodi bado zinabaki nyingi tu.Madhara ya kupata hela za haraka haraka bila kuwa na usimamizi mzuri. Kuna mahala nilisoma kuwa alikuwa anadai malipo yake yote bila kukatwa kodi, hivyo promoters walikuwa hamalipii kodi. baadaye IRA wakamlamba na bili za kodi, ila sikufuatilia kujua alimalizanaje na hao IRA