Fluconazole side effects

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Hatari wakuu naomba kujua kwa wenye utalaam wa hii dawa nimeandikiwa doz ya siku 30 ya fluconazole lakini ukiangalia hivi karibuni nimekuwa nikipata mkojo wa rangi ya njano sana unaoambatana na kijani kwa mbali nimeanda hospital kupima mkojo nmeambiwa mkojo wangu msafi je shida nini wakuu ni hizi dawa au nini
 
Kwakweli sikuizi nimepunguza sana lakini nikinywa maji jion na mchana nakojoa mweupe kabisa ila ikifka asubuh nakojoa mkojo wa njano
Mkuu tiba yako ni maji kwa kiasi kikubwa huwe na siku njema na pole sana
 
usisahau ukiona hupati mkojo kunywa beer na maji mengi utakojoa hadi useme basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…