big up fly 540 ndo tunayoyataka na kama ATCL ingekuwapo nathani bei ingeshuka zaidi...
Nimepitia website yao fly540.com hakuna trip ya DAR - MWZ
Vizuri, hapana shaka wataupdate website yao soon... Hizo safari zao zitaanza tarehe gani?ipo kaka wanaitangaza sana kwenye cloud fm..kwanza bei wafanye 32,450/=
Kaka hizo ni low fare planes kama easy jet na miundo mbinu inaruhusu. Ts 200k is fair kwa sasa kama na hiyo mnalalamika pandeni mabus Ts 100k ukae 32hrs kwa road kwenda kurudi
community airline nao walikuja kwa mbwembwe kibao za kushusha nao, wakashindwa kuhimili vishindo vya gharama za uendeshaji, wakasepa! Tusijetukaona na hawa fly 540 hayo hayo yanawatokea.....!