Fly overs Dar hazipunguzi foleni, ni prestige tu

Fly overs Dar hazipunguzi foleni, ni prestige tu

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
Kwa miaka miwili nimegundua ni bora tungejenga barbara nyingi za pembezoni, juzi flyovers ni prestige tu hazisolve tatizo la foleni
 
Fly over zinge tatua changa moto ya foleni kama barabara nazo zingekua ni pana
Refer barabara ya nyerere na kilwa road fly.
 
Shida ya Barabara za ni Kuwa Njia Nne

Karne hii mji mkubwa kama Da Inakuwa na Vinjia 4 Bara bara Muhimu na Kuu kweli?

Fly Over zenyewe Zipo zipo tu kama Kidaraja Haziendi na Wakati uliopo

Fly over za Kimasikini Sana zisizo na Malengo ya Kesho
 
Back
Top Bottom