GreatThinkers,
Nia yangu ni nzuri na hii kampuni ila hii tabia yao si nzuri hata kidogo.
Nilitoa lalamiko kama hili waliturusha bila uwepo wa Life jackets
Sasa jana tena hali hii niliyoishudia january abiria tunakosa hewa kabisa, hali hii n hatari.
Ninaamini wapo survivors wa hili tatizo hata humu JF.
FLY540 kwa nini mnatutesa abiria wenu??????????
They know it A-Z, naweza kutoa details labda kwa kuanzia ni ile ndege ambayo wahudumu wake wote walikuwa wanaume siku zote tajwa.Kesho tutamtafuta General Manager wao tumueleze hii kero!Spencer,unaweza kukumbuka Registration ya hiyo ndege?Route?
greatthinkers,
nia yangu ni nzuri na hii kampuni ila hii tabia yao si nzuri hata kidogo.
Nilitoa lalamiko kama hili waliturusha bila uwepo wa life jackets
sasa jana tena hali hii niliyoishudia january abiria tunakosa hewa kabisa, hali hii n hatari.
Ninaamini wapo survivors wa hili tatizo hata humu jf.
Fly540 kwa nini mnatutesa abiria wenu??????????
kesho tutamtafuta general manager wao tumueleze hii kero!spencer,unaweza kukumbuka registration ya hiyo ndege?route?
kuna katetesi nimesikia abt 540 kwamba ni ya mamvi,kutokana na izo namba kialfabeti,kwamba 5=E,4=D,0=O. . . .yaani EDO . . .je kuna kaukweli chochote?. . . .nawasilisha