Flying of drones in Tanzania

Nanomyte

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
90
Reaction score
11
habari zenu wanajamii,

i am planning to buy a small drone (syma x5-1) which costs aroung $60 for my younger brother. it is very small with 2mp of camera. the flying duration is 7mins only. he does not intend to fly around national parks as it is prohibited. he only intends to fly indoor (home) and at picnics.

is there any law which prohibits me from buying it or for him using?
 
Ununua wapi?
una link ya wanaouza hizo drones?
 
Mkuu unapokaa kuna watu wenye vyoo vya nje visivyo na paa aka passport size?
 
Mkuu unapokaa kuna watu wenye vyoo vya nje visivyo na paa aka passport size?

hapana mkuu... lakini for security reasons i will remove camera kwenye hio drone. unanishauri vp?
 
We nunua tu itapondwa mawe ama manati, nenda nayo beach sijui ya wapi na wapi huko upige chabo watu.

Drones nchi nyingi zinahitaji licences ili kuirusha, kwa Tz sidhani hata kama ni vitu famous
 
Tumia mwanya wa sheria kumiliki hiyo drone ila jisimamie mwenyewe kwenye matumizi usije kuingia kwenye migogoro na majirani zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…