Flyover ya kulipia nchini Kenya

Flyover ya kulipia nchini Kenya

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya.
.
Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo!
.
Kenyata anaupigaje Mwingi Wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Screenshot_20220515-122727.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Saaa hapo katatua tatizo gan? Naona ni ni jamaa mmoja tu ndio kaamua kupita hapo juu.

Mambo kama ayo ilitakiwa serikal za kiafrika zijifunze kujenga toll road (sijui ndio mnaita hvyo) kwenye njia kuu za kuingia ndani ya majiji au kuweka gharama ndogo ili kuwafanya wengi kuimudu hapo watakusanya gharama zaujenzi kidogo kidogo.
 
Wakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya.
.
Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo!
.
Kenyata anaupigaje Mwingi Wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2225430

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ina urefu wa zaidi ya kilomita 15, ntapita juu. Mfano unaendesha gari ya cc3500 ambayo inakula 3km/l kwenye hilo foleni chini, ni heri uokoe muda na mafuta kwa kulipa hiyo 7000 na kuteleza ju kwa ju kwa 10km/l
 
Hapo bado ilikuwa kwenye matengenezo. Gari ya contractor probably, au serikali.
Ila buku 7 joh [emoji119], mabepari og kazini.
Ila wana hela and its non of our business.
 
Saaa hapo katatua tatizo gan? Naona ni ni jamaa mmoja tu ndio kaamua kupita hapo juu.

Mambo kama ayo ilitakiwa serikal za kiafrika zijifunze kujenga toll road (sijui ndio mnaita hvyo) kwenye njia kuu za kuingia ndani ya majiji au kuweka gharama ndogo ili kuwafanya wengi kuimudu hapo watakusanya gharama zaujenzi kidogo kidogo.
Wa kwetu Kupanga ni Kuchagua. Huko Kwetu Tz kwenye Madaraja Kama haya Wananchi Wanachanja Bure. R.I.P Magufuli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Gdp vipi imeshuka?[emoji28][emoji28][emoji28]
Tukiwaambia uchumi ipo.kwa.mifuko ya wachache wanatoa povu balaa haya buku7 wanaona bora wabanane kuliko kuwahi kazini
 
Ni 7000 tsh kila ukipita au ni unalipia kwa mara moja kwa muda flani(siku,wiki au mwezi)

Kibongobongo buku 7 ni parefu kwa wamiliki wengi wa magari sijui kwa wakenya.
 
Wakenya wa kawaida ni kelele tu huku mitandaoni ila kiuhalisia ni wachovu tu kama waafrika wengine.
Si ajabu hapo mwenye kulitengeneza atakinga mshiko kutoka kwa wavuja jasho mpaka pesa yake irudi.
 
Wakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya.
.
Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo!
.
Kenyata anaupigaje Mwingi Wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2225430

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hapo lazima wangeanza na kuwa na toll Policy, toll law, toll facilities etc. Pia extensive study on willingness and ability to pay for the toll road. Kama haikufanyika study, basi inabidi warejee kuifanya.
 
Hii barabara ilifunguliwa kirasmi jana for limited number of cars(test drive) na tayari mibongo washaanza kelele. Hata hiyo picha aliyoweka mleta mada ni wakati ujenzi ukiendelea. Mibongolala, hela sio issue kwa wakenya coz already 10,000 drivers have already signed up to use the road

Back
Top Bottom