Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kama ina urefu wa zaidi ya kilomita 15, ntapita juu. Mfano unaendesha gari ya cc3500 ambayo inakula 3km/l kwenye hilo foleni chini, ni heri uokoe muda na mafuta kwa kulipa hiyo 7000 na kuteleza ju kwa ju kwa 10km/lWakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya.
.
Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo!
.
Kenyata anaupigaje Mwingi Wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2225430
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wa kwetu Kupanga ni Kuchagua. Huko Kwetu Tz kwenye Madaraja Kama haya Wananchi Wanachanja Bure. R.I.P MagufuliSaaa hapo katatua tatizo gan? Naona ni ni jamaa mmoja tu ndio kaamua kupita hapo juu.
Mambo kama ayo ilitakiwa serikal za kiafrika zijifunze kujenga toll road (sijui ndio mnaita hvyo) kwenye njia kuu za kuingia ndani ya majiji au kuweka gharama ndogo ili kuwafanya wengi kuimudu hapo watakusanya gharama zaujenzi kidogo kidogo.
Lakini mjiandae kulipa 7000 Kila ukipataHaijaanza kutumika rasmi.
Toll Charges avarage ni kutoka KES 100- KES 360 kulingana na size ya gari. Ukisema 7,000 tafadhali taja kwamba ni kwa hela ya madafu. Breakdown of expressway toll charges
Toll Charges avarage ni kutoka KES 100- KES 360 kulingana na size ya gari. Ukisema 7,000 tafadhali taja kwamba ni kwa hela ya madafu. Breakdown of expressway toll charges
Wakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya.
.
Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo!
.
Kenyata anaupigaje Mwingi Wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2225430
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Du...Bia nne hizo chupa kubwa pingli-nywee [emoji849][emoji849]Toll Charges avarage ni kutoka KES 100- KES 360 kulingana na size ya gari. Ukisema 7,000 tafadhali taja kwamba ni kwa hela ya madafu. Breakdown of expressway toll charges