Flyover yazidiwa, foleni yake yashangaza watu

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
304
Reaction score
401
Leo kwa mara ya kwanza wakazi wa Dar Salaam hasa wameshangazwa na foleni ya magari katiki barabara ya Juu (Flyover).

"Tumekua tukiamini hii jia ya juu ndio suluhisho la foleni ajabu leo tunaona nayo ina foleni" alisikia mmachinga wa karibuna eneo hilo.

 
Dikteta angekuwepo angesema wapinzani ndio wameleta foleni
 
Wee ndio unaona leo?mbona ipo tangu siku ile imezinduliwa siku ile ile ilianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…