124 Member Joined Nov 9, 2011 Posts 12 Reaction score 3 Nov 23, 2011 #1 Wandugu! Salaam! Naomba kujua taratibu na gharama za kuanzisha Fm radio yenye kusikika umbali wa mpaka km 20.[Community Radio] Shukrani.
Wandugu! Salaam! Naomba kujua taratibu na gharama za kuanzisha Fm radio yenye kusikika umbali wa mpaka km 20.[Community Radio] Shukrani.
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Nov 23, 2011 #2 tembelea website ya TCRA utapata kila kitu humo