FNB sidhan kama wana branch Mliman city maeneo hayo hawana mpaka Sinza au uende Oysterbay - Coco beachHawa si ndio walifungua branch yao matata sana pale Mlimani City miezi ya hivi karibuni?
Kwani wamehama pale kariakoo!?si wapo pia posta jirani na Serena hotel?FNB sidhan kama wana branch Mliman city maeneo hayo hawana mpaka Sinza au uende Oysterbay - Coco beach
Wametoa taarifa kuwa matawi ya Kariakoo na Industrial yatafungwa na kuhamishiwa Main Branch -Ohio Str. Pia, Pale Kimweri Rd. Branch/Msasani washafunga kitambo wateja wamehamishiwa Oysterbay-Coco Beach.Kwani wamehama pale kariakoo!?si wapo pia posta jirani na Serena hotel?
Mkuu sorry sijakuelewa hapo uliposema benki makini kwa transaction za nje.Wametoa taarifa kuwa matawi ya Kariakoo na Industrial yatafungwa na kuhamishiwa Main Branch -Ohio Str. Pia, Pale Kimweri Rd. Branch/Msasani washafunga kitambo wateja wamehamishiwa Oysterbay-Coco Beach.
** Benki makini kwa transaction za nje kasi ya kupunguza/merging matawi inatutisha jamani
Uchumi wetu unakua kwa kasi ya ajabuMimi ni mteja wa Benki tajwa kwa takribani miaka minne. Nimestuka kwa miezi 3 iliyopita mmefunga matawi kadhaa jijini. Tuwaeleweje? Mbona mnaleta taharuki? Tutoe senti zetu humo? Niliwekeza kwenye akaunt maalum angalau Disemba 2019 nijipongeze kwa Alphard za Offa toka befoward! Lakin kasi ya kufunga baadhi ya matawi imenistua
Asante sana. Kesho mapema nawahi pale Main branch nikakombe nihamishie benki yetu ya wanyongeToa haraka
Nina akaunti ya Dola (USD) CRDB monthly charges na withdraw fee ni maumivu matupu. Kupokea pesa toka nje ya nchi inachukua muda kiasi. Nimejaribu FNB wana nafuu. Hofu ni huku kufunga matawi ghafla.Mkuu sorry sijakuelewa hapo uliposema benki makini kwa transaction za nje.
Ina maana nikiwa na akaunti na kadi za NBC na CRDB itasumbua kufanya transactions nikiwa nje?
Kitu ambacho naona wachangiaji wengi wa hii thread hawajui ni kuwa benki nyingi duniani kote zinafunga matawi kwa sababu ya kuenea kwa huduma za internet. Miaka ya 2005 nilitembelea Finland na kulikuwa na matawi mengi ya benki mitaani. Benki zilizokuwa zimeenea kwa wingi ni Nordea, Sampo, OP. Nilishangaa sana nilipotembelea tena mwaka huu mwanzoni na kukuta robo tatu ya matawi yote yamefungwa. Zimebakia branches chache sana na ziko mbali mbali na huwa zinatowa huduma zile muhimu tu. Maendeleo ya Internet yameondoa kabisa ule umuhimu wa watu kwenda banks physically!Uchumi unakuwa kwa kasi sana ,hao walikuwa wapiga dili.
Ni kweli Mkuu kuwepo kwa ATM za kutoa na kuweka fedha kumeondoa uhitaji wa Bank tellers sana kwenye mabenki, idara ya mhimu sana Bank ni loan department ,Kitu ambacho naona wachangiaji wengi wa hii thread hawajui ni kuwa benki nyingi duniani kote zinafunga matawi kwa sababu ya kuenea kwa huduma za internet. Miaka ya 2005 nilitembelea Finland na kulikuwa na matawi mengi ya benki mitaani. Benki zilizokuwa zimeenea kwa wingi ni Nordea, Sampo, OP. Nilishangaa sana nilipotembelea tena mwaka huu mwanzoni na kukuta robo tatu ya matawi yote yamefungwa. Zimebakia branches chache sana na ziko mbali mbali na huwa zinatowa huduma zile muhimu tu. Maendeleo ya Internet yameondoa kabisa ule umuhimu wa watu kwenda banks physically!