Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Kwa anayeijua vizuri taasisi hii Naomba anisaidie tafadhali,
Je?! ni kweli wanakopesha ndani ya dk 35 tu baada ya kuwarushia pesa ktk M-pesa na Tigo pesa?!
Naamini kuna wadau wameshafanikiwa au kulizwa ktk hili,
Naomba Msaada wenu wakuu maana nami nataka kukopa ili isije kula kwangu