Kwa anayeijua vizuri taasisi hii Naomba anisaidie tafadhali, je?! ni kweli wanakopesha ndani ya dk 35 tu baada ya kuwarushia pesa ktk m pesa na tigo pesa?!
Naamini kuna wadau wameshafanikiwa au kulizwa ktk hili, Naomba Msaada wenu wakuu maana nami nataka kukopa ili isije kula kwangu