unashangaa ya Arusha kuja dar uone foleni kuanzia mbezi/kibamba mpaka fire station city centre. watu wanapanda magari saa kumi na moja alfajiri wanafika city centre saa mbili.
2030 ni mbali sana mkuu!Miaka miwili ilopita foleni ya Arusha haukua kiasi hiki.Dar hapa ni kero kubwa mno!majiji mengine nayo yanakuja kwa kasi.kwel swala la barabara hasa kwa majijii inabidi lichukuliwe hatua za makusudi na za haraka