mberege rukiko
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 171
- 136
Foleni ipo barabarani,bombani,visimani,kununua luku na hata kwenye mapenzi kuna foleni.
Ukiwa na pesa kibao utakuwa namba wani kupewa penzi lakini ukiwa kapuku utasubiri sana.
Ukiwa mwanamke mzuri utakuwa namba wani kupata mwanaume anayejiweza na anayependwa na wanawake wengi ukiwa na sura mbaya na huna ushuzi wa kutosha nyuma utasubiri sana.
Foleni ni foleni hata mbwa akiwa kwenye siku zake za joto yani heat period mbwa mwenye nguvu dume ndo humpanda jike na kufaidi uroda.
Kwahiyo kama wewe ni mnyonge mtafute nyonge mwenzako usilazimishe maji kupanda mlima.
Mimi nakula mpaka nyama mbichi usinifuatishe utatapika mtoto wa mama.
Hakuna kitu kizuri kama mtu kujitambua kundi ulilopo ili usipate shida.
Unampenda mwanmke Mzuri na msafi wakati huna pesa na umechafuka unanuka mapumbu yako na kikwapa wapi na wapi ndugu yangu.
Tafuta sinoko wenzako musumbuane kwenye makorongo huko munapigishana mbuzi kagoma kwenda wakati sisi tunaenda kujibweda hoteli za nyota tano.
Wanawake wengi wa mitandao mapenzi yao ni ya pesa.Akishindwa kukulaghai umtumie pesa kubwa basi angalau vocha atakukwapua tu.
Tena wengine wanajijua hawapo kwenye magroup kwa ajili ya ngono wanapenda kuchat tu lakini bado wamekua omba omba wa pesa kwa wanaume.
Ukiwaambia ukweli siwezi kukurushia pesa mpaka tuonane utashangaa unakashifiwa mara unaambiwa achana na mimi.
Mwanamke anakuwa mwepesi kutangaza njaa zake lakini hataki kuijua angalau njaa yako mwanaume moja tu.
Wamejiwekea mazoe ya kula vya wanaume tu bila na wao kuliwa japo kidogo.
Na ukiwa msema kweli kama mimi ndo jua utanyimwa mbunye mpaka uropokaji wako ukome.
Ukimpata mwanamke kwenye group asiyeweka pesa mbele pesa usimuache mshikilie vizuri huyo jua amefundwa akafundika.
Sent using Jamii Forums mobile app