Foleni Maili 35 barabara ya Morogoro

Foleni Maili 35 barabara ya Morogoro

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha.

Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!
 
Nikitoka morogoro mimi napitia tu kwa Jakaya kikwete, naelekea bagamoyo, ingawa ina michepuko mingi ila ni 11km tu, na nyingine kama 15 mpaka pa kupanda Bagamoyo, hilo libra barabara lenu halina maana
 
okay halafu unakuja kukutana na kafoleni huku tegeta kuelekea town sio,
maana magari yote yanapita njia kuu michepuko imejaa maji na tope 🐒
 
Kuna lori la mafuta limedondoka misugusugu na limemwaga mafuta hicho ndiyo chanzo cha foleni

Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha.

Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!ab
 
Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha.

Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!
Ahsante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom