A
Bila shaka mamlaka zitachukua hatua stahiki
Uongozi ukibadirika tuandamane Hilo jengo lisiwepo hapo, hii itakuwa balaa kubwa. lilipojengwa Mimi nilidhani shopping Mall,nilichoka kuambiwa ni bandari sehemu ilistahili iwe ya watu kupumzika Park hiyo.Na hapo bado CFS hii iliyojengwa hapa Jeshini haijaanza kazi tutapata kukatisha toka Mbagala kipati mpaka Rangi 3 ni masaa 4 na zaidi. Mungu tuhurumie sisi watawaliwa.
Ni uwanja wa jeshi ule ndugu yangu, waliupataje mimi na wewe hatujui kikubwa tujiandae na msongamano zaidi.Uongozi ukibadirika tuandamane Hilo jengo lisiwepo hapo, hii itakuwa balaa kubwa. lilipojengwa Mimi nilidhani shopping Mall,nilichoka kuambiwa ni bandari sehemu ilistahili iwe ya watu kupumzika Park hiyo.
Kuna saa unajiuliza je!? viongozo wetu hawapo? Je mawazo yao yameshindwa kutafuta ufumbuzi wa foleni mjini? kwanini hatuwezi kuamua kama Nchi kutafuta suluhu ya kurekebisha miji yetu? Ni maswali zaidi ya moja au mawili na zaidi na yasiyo na majibu kamili zaidi ya kuwashukuru Trafiki kusimamia uongozwaji wa magari ktk msongamano huu.Dsm ndo maana panachosha, hizo Foleni, nakerekwa mie. Lol
Sasa tutafanyajee??Kuna saa unajiuliza je!? viongozo wetu hawapo? Je mawazo yao yameshindwa kutafuta ufumbuzi wa foleni mjini? kwanini hatuwezi kuamua kama Nchi kutafuta suluhu ya kurekebisha miji yetu? Ni maswali zaidi ya moja au mawili na zaidi na yasiyo na majibu kamili zaidi ya kuwashukuru Trafiki kusimamia uongozwaji wa magari ktk msongamano huu.
Hii Nchi hakuna Viongozi, kuna madalali tu. Rais alikua JK Nyerere na JPM tuFoleni ya kutoka Mbagala Kizuiani kwenda Mbagala Rangi Tatu ni foleni ambayo haina ulazima kama askari wataamua kusimamia.
Unakuta muda askari wapo tu na vyanzo vya foleni wanaviona ila hawana muda navyo, wao wanaelekza nguvu zao kusimamisha Daladala ili kufanya yao huku Wananchi tukiendelea kuteseka kila siku.
Pia, watu wengine wanaochangia uwepo wa foleni ni Machinga, wanapanga vitu hadi barabarani, yaani inakuwa kero kero.
Barabara ya Watembea kwa miguu wamechukua yote na saizi wengine wanashuka hadi kwenye barabara kubwa wanapanga vitu.
Mamlaka zipo zinatazama tu, watembea kwa migu wanakosa pa kupita, magari nayo yanatembea kidogokidogo ili kutokuwajeruhi wafanyabiashara.
Imekuwa kero kubwa sana hii, tutaendelea na hali hii hadi lini?