Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Nami nilikuwepo na hapo kwenye mizani za Mikese hapakuwa na gari zaidi ya wafanyakazi wa mizani waliokuwa wamekaa sehemu ya yanaposimama magari nao wanashangaa kinachoendelea, kuna watu wstaihusisha mizani wakati haihusiki.Mkuu ninavyo andika nipo mikese kwa mbele kuelekea Dar, tumekaa masaa mawili bila kusogea.
Waliokuwa mdaula sa 8 mchana ndo wamepita hapa kama nusu saa iliyopita.
Hali ni mbaya sana.
👇Unayajua magari laki tano?
Hebua acha upotoshaji,
Barabara inayohudumia magari mengi kwa siku ni kibaha high way 75k vehicles per day kwa mujibu wa nbs
Ameandika hivi japo anaandika vibayaikumbukwe inahidumia magari kuanzia tani tano na kuendelea.
Acha upumbavu mkuu,mtoa hoja hajaandika magari laki 5,alichokiandika ni magari ya kuanzia 5T lazima yapimwe mizani!Unayajua magari laki tano?
Hebua acha upotoshaji,
Barabara inayohudumia magari mengi kwa siku ni kibaha high way 75k vehicles per day kwa mujibu wa nbs
Mpumbavu mamaakoAcha upumbavu mkuu,mtoa hoja hajaandika magari laki 5,alichokiandika ni magari ya kuanzia 5T lazima yapimwe mizani!
U feel better now!!,next time elewa kuna tofauti kubwa ya magari 500,000 na vehicles above 5TMpumbavu mamaako
Kilichotokea sikuelewa na sio kwamba sijui tofauti ya hivyo vitu,hukupaswa kunikumbusha kwa kuniita mpumbavu,U feel better now!!,next time elewa kuna tofauti kubwa ya magari 500,000 na vehicles above 5T