Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Hii ni kwa wale ambao
1. Wako single
Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli??
Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi?

2. Mlio kwenye mahusiano
Mnaona kama mahusiano yanasomeka kweli au mauza uza?
Unaona unaolewa soon au hamna kitu?
Ushafumania sms au simu ngap za mpenzi wako zisizo zako?
Je foleni ya penzi lenu inaenda kweli?

3. Mlio kwenye ndoa
Hali inaendaje huko kwa ndoa wapendwa?
Penzi lenu la honey moon stage bado ndio mnatembea nalo au kitumbua kimeingia mchanga? Je michepuko ipo au imeondoka yote?
Vipi wale wachumba ambao walitarajiwa waolewe ukaolewa wewe na wale ma ex uliowaacha wanasemaje baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kusema kweli foleni ya mapenzi ni kama haiendi huku mtaani, sijaelewa kuna shida gani ila tunaomba nyie mliopo mbele mkaweka foleni, tafadhali fanyeni haraka watu wanakufa huku."

Alisikika muhuni mmoja kwenye kipindi cha redio akituma salamu
 
Foleni ingeenda ila Kuna watu wameshachukua chakula ila bado wanataka kingine hapo hapo asa foleni itatembeaje!?
 
Screenshot_20240422-003829~2.png
 
Back
Top Bottom