Folic acid inaweza kuzuia matokeo ya mimba kuwa accurate?

Folic acid inaweza kuzuia matokeo ya mimba kuwa accurate?

princessita

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
21
Reaction score
6
Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye mkojo?au
 
Hapana folic acid haiwezi kufanya hivyo, kitu gani kimekufanya uhisi kwamba ni mjamzito!? ila kama ni kweli umjamzito basi endelea kuzitumia tu maana zinasaidia sana katika kuhakikisha mtoto mtarajiwa hazaliwi na abnormalities zozote zile.
 
Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye mkojo?au
Kipimo kinachosababisha ujulikane una mimba ni HCG-pregnancy hormones.Ukiwa mjamzito hormones hizo zinakuwepo kwa wingi kwenye mkojo haswa wiki 12 za mwanzo za ujauzito,ila zinakuwepo vilevile through out the whole pregnancy.Folic acid haiwezi kudhuru matokeo ya kipimo cha ujauzito.
Nakushauri uende hospitali ukapime ili upate uhakika zaidi au pima tena na kipimo kingine cha ujauzito...
 
Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu

Pima kipimo kinaitwa UPT na ultasound-pelvic au lini ni siku yako ya mwisho kupata siku zako?(LNMP)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Missing period can not justify your pregnant...likewise if UPT imesoma positive (two lines zimetokea) haimaniishi kuwa u mjamzito,UPT inaangalia hormone kwa mkojo ndio isome positive,na hormone zaweza kuwepo as uli-concive n then ikapata early miscarriage bila ya wewe kujua! UPT will continue reading positive as the effects of having Amniotic sac kwa mji wako wa mimba without the real embryo inside.
Go fanya Ultrasound ili uwe na uhakika zaidi.
 
Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu

Kama hujawah kukosa period maisha yako yote toka ukue ujue tayari unamimba na diznec ni dalili kubwa ya mimba changa...subiri baada ya wiki ukipima utaona mwenyewe.
 
Back
Top Bottom