princessita
Member
- Aug 19, 2013
- 21
- 6
Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu
Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu
Kipimo kinachosababisha ujulikane una mimba ni HCG-pregnancy hormones.Ukiwa mjamzito hormones hizo zinakuwepo kwa wingi kwenye mkojo haswa wiki 12 za mwanzo za ujauzito,ila zinakuwepo vilevile through out the whole pregnancy.Folic acid haiwezi kudhuru matokeo ya kipimo cha ujauzito.Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye mkojo?au
Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu
Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu