Naomba unielekeze namna ya kuwaona followers wangu humu Jf ili nijue namimikatika kupitia profile ya jf.nimeona sehemu ya followers na idadi yake sasa Mimi nahitaji kuongeza followers lakini pia na Mimi ni follow wengine..
kwa wale wanaohitaji tuwe follows tafadhari ni-follow na Mimi nitaku-follow back...
nenda kwenye profile yako utaonaNaomba unielekeze namna ya kuwaona followers wangu humu Jf ili nijue namimi
Duuh aiseee Nina follower mmoja tuu yaniiinenda kwenye profile yako utaona
huku followers haisaidii chochote kama instagram,ngoja na mimi nikufollowDuuh aiseee Nina follower mmoja tuu yaniii
hayakuhusu,ngoja nimuendee inibokisiaahhh Mr BOOK,kwa vile ni miss baaaas fasta sana unamfollow...
Wewe umewa_follow wangapi?Duuh aiseee Nina follower mmoja tuu yaniii
[emoji14] [emoji14]Huku sio instagram[emoji57] [emoji57] [emoji57] andazi we