Folly Bah Thibault

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Huyu kipusa kanifanya nipende sana kuangalia taarifa za habari za Al-Jazeera.

Huwa sichoki kabisa kumwangalia.

Mdada ana ngozi nyororo yenye rangi ya chungwa.

Acha tu niendelee kumfaidi vicariously maana sina jinsi.

 
Hivi rangi ya chungwa huwa mnamaanisha hii? Ngoja niitafute habari nimtazame vyema...
 
Ewaa...nami namzikia sana, has a macho na mdomo.
Demu wangu huyu, Nyani ngabu tafadhali
 
Nishaangalia sana halí ya hewa CNN kwa ajili tu ya Jenifer Delgado. Nishafuatilia sana pia habari CNN kumuona tu Isha Sesay. Nilipokua nikashindwa kuchagua mmoja, ikabidi niwaache wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…