Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Lazima kitumike kidogo kupata kikubwa si kikubwa kupata kidogo. Maana hata kazi mbaya(ndogo) huzaa kazi nzuri (kubwa). Hatuwezi kuanza juu kushuka bali chini kukwea huku tukitumia kanuni ya hapo juu,kutumia kidogo kupata kikubwa! yaani hatua kwa hatua..hatua ni sehemu ndogo ya mwendo ambayo hujumlishwa na sehemu nyingine ndogo ya mwendo,kisha tena na tena na ndipo inapatikana safari..malengo na mwelekeo wa safari ni muhimu..heko kwa watanzania wapenda mabadiliko!