#COVID19 Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

Chanjo siyo salama. Hiyo naona kwamba
sasa hivi ndiyo chanzo hizi siyo salama.
Maneno yanasemwa kama vile" more people dying of the vaccine than from covid 19"
Kwa nini hawa watu ,ambao most probably walikuwa wanajua mambo haya toka zamani,wanayazugumza sasa?
Wanavyosema ni kwamba,yaani utafiti unaonyesha ,children are not in great danger from covid. Watu chini ya miaka 65 nao pia hawako katika hatari kubwa ya kufa kwa covid.
Certainly Serikali isiseme kwamba itawalipa fidia watu wanaodhurika na chanjo. Kwa sanabu hao wadhalimu wameanza kutajana kuhusu madhara ya chanzo.
Matatizo ya chanzo ni mengi sana. AIDS ,kwa mfano,ililetwa huku ( sud-haran Africa)miaka ya sabini katika chamjo ya smallpox.
 
Corona inawapenda watu wakaidi kama wewe .

Meco aliipuza sana na matokeo yake sasa mmebakia wajane
 
Wacheni kujidanganya nyinyi MATAGA na CHAWA wa Jiwe
 
Umeshaambiwa kuchanja ni hiari, hulazimishwi. Sasa changanya akili za kuambiwa na serikali na zako mwenyewe. Acha hoja za "mama nianze mboga nianze ugali?".
Mwambie huyo kula kulala wa lumumba
 
Hongera mkuu,you are well informed
 
Ushauri Kama huu ni wa maana Sana,lakini kwa vile kumejaa mazezeta wenye ID kumi watapinga tu.
Hata hivyo hizo chanjo zimewaidia nchi gani hata kule walikochanjwa wanaambukizwa na kufa hata Sasa. Au tunataka kuwafurahusha wazungu?Rwanda,Uganda waliochanjwa wamefungia,viongozi wanayatamani hayo?
 
Hii👇 comment niliitoa lakini na wewe naamini itakuaaidia.

👉Wakati ambapo serikali yeyote ya dunia ingeweza kuamika kwa lolote umepita mkuu.Fanya utafiti wako binafsi,beba msalaba wako.In short take responsibity of your own life.


Kwa kukusaidia fuata link ifuatayo ili uweze kufanya maamuzi ya busara na sahihi kwako binafsi,familia yako na wengine uwapendao.Let make this clear,kwa swala hili la the so called C-19 vaccine no body should make a mistake,it is a matter of life and death.Usiitegemee serikali yetote ya dunia leo ikulinde,hicho kitu hakipo,serikali zote za dunia lao ni moja.

 
Wakati partner wangu anafanyiwa operation ya tumbo la uzazi, tuliambiwa tusaini fomu za ridhaa. Ni kawaida kitu atengenezacho binadamu mwenzako kukosa uhakika wa 100%, unaweza pata maudhi ya hapa na pale, ila uwe tayari.
 
Hi ni sawa na kuangamiza vizazi na kufa na kizazi Cha wanachokitaka akina Bill gate.Mbaya Sana.
 
Corona inawapenda watu wakaidi kama wewe .

Meco aliipuza sana na matokeo yake sasa mmebakia wajane
Unayempuuza ndiye ambaye yuko very well informed.Corona ni a hoax mkuu,funguka.

Wakati ambapo serikali yeyote ya dunia ingeweza kuamika kwa maisha yako kwa lolote umepita mkuu.Fanya utafiti wako binafsi,beba msalaba wako.

Kwa kukusaidia fuata link ifuatayo ili uweze kufanya maamuzi ya busara na sahihi kwako binafsi,familia yako na wengine uwapendao.Let me make this clear,kwa swala hili la the so called C-19 vaccine,no body should make a mistake,it is a matter of life and death.Usiitegemee serikali yetote ya dunia leo ikulinde,hicho kitu hakipo,serikali zote za dunia lao ni moja.

 
SERIKALI LAZIMA ISEME WAZI KUWA HAWANA UHAKIKA NA USALAMA WA CHANJO HIZO NA ATAKAYEAMUA KUCHANJWA ATAWAJIBIKA MWENYEWE KWA KUKUBALI KWAKE KUCHANJWA YAANI "TAKE A JAB AT YOUR OWN RISK"!
Na hii ndio maana ya consent form.
 
Naona umerukia treni kwa mbele,nani kapuuuza juu ya chanjo ya korona?

Nimesema kuwa kwa yeyote anaye ipinga chanjo ya korona basi akae kimya awaachie wale walio na nia njema ya kupatiwa hiyo chanjo wapatiwe.

Sasa wewe naona unahangaika na malink unadhani utanishawishi kwa malink ndiyo niikatae chanjo?

Chanjo ni muhimu popote pale duniani ndiyo maana hadi leo hii mtoto akizaliwa lazima anapewa chanjo ya kujikinga na magonjwa mbali mbali ya hatari.
 
Katika mazingira haya ni idiot tu atakayekubali kuchanjwa.Infact hapa serikali inawafurahiaha tu mabeberu,lakini inachosema kwa mtu mwenye akili ni kwamba, "usichanjwe,hii jab ni hatari kwako."
Pumbaf wewe na unaonekana kuwa ni mfuasi wa kayafa na wewe ni kundi la kibwetere.
 
Sipati faida yeyote kukuaaidia ili ujue ubaya wa hiyo inayoitwa kwa makosa chanjo.Hata hivyo kama wewe ni mmoja wa jeshi la CIA la 60,000 plus la kuhamasisha wanadamu wakubali sumu hiyo,kwa Tanzania mmeshindwa,labda mu-embark on plan B,the Blue Beam.Kwa taarifa yako kama hujui sumu hiyo ina sumu hatari inayoitwa Graphene Oxide na mRNA technology yenye nia ya kubadilisha DNA yako iweze kuzaliaha proteins zinazoitwa "spike proteins."Hizi ndizo nightmare ya mwanadamu.What does this adds up to,it changes your genome,makes you a GMO organism, makes you non human,patentable and therefore ceases to have human rights.This is exactly what they are up to.Wake up folks,you are up for a fix.
 
Ugoro mtupu na bhange ndiyo vinakuongoza.
 
Wewe hata ukifa kufa tu maana huna faida kwa taifa.
 
Pumbaf wewe na unaonekana kuwa ni mfuasi wa kayafa na wewe ni kundi la kibwetere.
Hivi hapa nani Kibwetere,mimi au wewe unayehamasisha watu kukubali sumu mbaya kabisa katika historia ya wanadamu kuwahi kuitwa chanjo?
 
Hivi hapa nani Kibwetere,mimi au wewe unayehamasisha watu kukubali sumu mbaya kabisa katika historia ya wanadamu kuwahi kuitwa chanjo?
Sumu unayo wewe mwilini mwako.
Mbona ARV unazibugia kila siku hadi zimekusababishia kitambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…