#COVID19 Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

Ugoro mtupu na bhange ndiyo vinakuongoza.
Huwasaidii watu kufahamu ukweli kwa kuleta matusi,unaonekana mjinga tu.Lete taarifa za kisayansi mbadala,kama huna nyamaza.
 
Sumu unayo wewe mwilini mwako.
Mbona ARV unazibugia kila siku hadi zimekusababishia kitambi?
Siwezi kunywa ARV mimi,kwa gonjwa hewa.Not me.Lakinii,kubwata bwata hapa hakukusaidii sana,lete taarifa za kitaalamu zitakazowasaidia watu,kama huna nyamaza.
 
Siwezi kunywa ARV mimi,kwa gonjwa hewa.Not me.Lakinii,kubwata bwata hapa hakukusaidii sana,lete taarifa za kitaalamu zitakazowasaidia watu,kama huna nyamaza.
Unatembea nazo mfukoni
 
Siwezi kunywa ARV mimi,kwa gonjwa hewa.Not me.Lakinii,kubwata bwata hapa hakukusaidii sana,lete taarifa za kitaalamu zitakazowasaidia watu,kama huna nyamaza.
Mkuu nilisahau kukutahadharidha huyo unaye debate naye Thinking capacity yake ipo Very Low. Yeye anawaza ubishi wa CCM na CHADEMA, usishangae akikuita majina kama Lumumba etc. Hawezi kutoa maelezo yoyote yanayotegemea kichwa chake zaidi ya kufata mkumbo tu. Amejaa ushabiki tu Ila ni ZERO brain. Nakushauri fanya kum ignore tu.
 
Corona inawapenda watu wakaidi kama wewe .

Meco aliipuza sana na matokeo yake sasa mmebakia wajane
Pole kwa ujinga! Huko ulaya na marekani wanaoshinikiza hizo biashada za chanjo ndiko kwenye wajane na yatima wengi wahanga wa corona kuliko popote pale! Huku kwetu mnalazimisha mtu akifa kuwa kafa kwa corona wakati siyo!! Pole tena kwa ujinga! Wanaotuletea chanjo hazikuwasaidia wao, wamezika sana na wanaendelea kuzika! Hazikuwaokoa wao, zitakuokoaje wewe? Pole tena kwa ujinga!
 
Bax
Hili la kuweka saini fomu ya kuchanjwa mbona ni la kawaida na ni sawa na fomu niliyosaini wakati nafanyiwa operation. Kama hutaki kuchanjwa ACHA!
Basi waseme wazi kuwa hawana uhakika na usalama wa chanjo!! Siyo unasema chanjo ni salama halafu unakwepa kuwajibika! Waseme wazi: Chanjwa at your own risk!!
 
Ilimradi tu hawa covidiots walete tafrani
 
Wewe kama unataka kachanjwe kama hutaki kufwa
 
Asante kwa taarifa mkuu,nimekupata.
 
I am sorry,sikujua kwamba wewe ni idiot,stupid and loon.
 
Athari za operation ni tofauti na athari za chanjo ya mRNA!! kwenye upasuaji unaathirika wewe tu. Lakini kwenye hizi chanjo za corona, unaathirika kwenye vinasaba au DNA. Na unawarithisha watoto wako utakaowazaa baadaye!! Watoto nao watawarithisha watoto wao!! Its very serious!!
 
Mpaka unachanjwa si unaridhia mwenyewe kwa kitu chochote, hapo serikali iwajibike kwa lipi?

Hakika BAVICHA Mbowe anawapeleka puta kama gari bovu.
Hivi huko UVCCM hakunaga vijana wenye uelewa na udhubutu wa kushauri/kuhoji jambo lolote, maana kila anayetoa ushauri mzuri kwa serikali lazima mumhusishe na BAVICHA?
 
Liability unaibeba mwenyewe!Hii ni dunia nzima utaki usichome!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…