Fomu ya mikopo kwa 2011/2012.

Fomu ya mikopo kwa 2011/2012.

Monasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
561
Reaction score
422
Kwa wale wenzangu na mimi tuliomaliza six mwaka huu(2011) na unajiona unataka na unafaa kuomba mkopo, ni uwanja wako sasa. unaweza kuaaply hata kabla ya matokeo lakini angalia pia isije kula kwako.
Mwaka huu bwana itakulazimu ujue jinsi ya kutumia internet. Fanya hala kuaaply ndugu. Mwisho wake ni June 30.
Nakutakieni application njema.
 
Back
Top Bottom