Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
BenJa kabla hujstaafu JF, chukua fomu ya ubunge CHAUMMAHata bure sijui kama itapata watu
Una taka kina Mad Max, Extrovert, Tajiri Sina BAYA wakuroge ehh?Intelligent businessman tukakuchukulie form
Mie mwenyewe ni mchawi mshaghuli mkuu.. kuhusu kurogana hiyo idara niachie
Sababu utopolo wamemchukulia Hersi Kigamboni?Makolo wamchukulie form Mangungu
Sisi tunachanga, unachukua.
mkuu tunguli hazina ubabeMie mwenyewe ni mchawi mshaghuli mkuu.. kuhusu kurogana hiyo idara niachie
una dhani hatujui mkweo nae kachukua!Sisi tunachanga, unachukua.
Mkuu unataka umchukulie awanie ubunge nchi gani Tanzania? ππ subiri uchaguzi wa Jamaica labda.Intelligent businessman tukakuchukulie form
π πMkuu unataka umchujulie awanie ubunge nchi gani Tanzania? ππ subiri uchaguzi wa Jamaica labda.