Uchaguzi 2020 Fomu za kugombea Ubunge CCM zinatoka lini?

Uchaguzi 2020 Fomu za kugombea Ubunge CCM zinatoka lini?

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,278
Wakuu salamu za heri kwenu.

Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.

Asanteni.
 
Zinatoka ofisini kwa Bashiru Ally, labda kama amezisambaza zingine kwenye ofisi za chama kanda au mikoani.
 
Wakuu salamu za heri kwenu.
Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.
Asanteni.

Mkuu,

Ni tarehe 14/07/2020,

Ukienda ofisi zozote za CCM KATA utapata ngazi ya UDIWANI ambazo ada yake ni tshs 10,000

Ubunge ni ofisi za CCM Wilaya, ambazo ada yake ni 100,000.

Shukrani
 
Mkuu,

Ni tarehe 14/07/2020,

Ukienda ofisi zozote za CCM KATA utapata ngazi ya UDIWANI ambazo ada yake ni tshs 10,000

Ubunge ni ofisi za CCM Wilaya, ambazo ada yake ni 100,000.

Shukrani
Gharama iko sawa kabisa.
Tuombeane heri mwakani tarehe km hizi niwe na initial ya mheshimiwa M
 
Wakuu salamu za heri kwenu.

Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.

Asanteni.
amesema wabunge wote wa CCM watarudi, sasa fomu za nini? wanachukua wale wale
 
JPM alisema ya laiti angejua urais ni kazi ngumu kiasi hichi, basi 2015 asinge chukua form ya kugombea.

Mbona mwaka huu kachukua tena?
 
Back
Top Bottom